Habari

Waliochukua fomu CCM ni 10367 – Rais Magufuli (+Video)

Nilikuwa napata taarifa leo, kwamba waliochukua fomu ya kuwania nafasi mbalimbali za ubunge na uwakilishi nchi nzima kupitia chama cha Mapinduzi walikuwa elfu 10367

Na katika hao ambao wamekamilisha taratibu zote na kurudisha fomu zao zikiwa kamili ni elfu 10321 kwa hiyo wale ambao hawakuzirudisha ni 46.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents