Burudani

“Wanaume wengi wananipenda, Ila kutokana na uzuri wangu wanaogopa kunifuata” – Miss Tanzania 2016, Diana Edward

Miss Tanzania 2016/17, Diana Edward amesema kuwa kutokana na uzuri wake na umaarufu alio nao, umesababisha kushindwa kupata mwanaume sahihi mpaka sasa kwani wengi wao wamekuwa wakionesha kumpenda lakini wanashindwa kumwambia.

Akiongea na waandishi wa habari, Diana amesema kuwa alishawahi kuwa kwenye mahusiano lakini kutokana sababu zilizo nje ya uwezo wake penzi likavunjika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents