Habari

Wasanii 3 wamuiga Steve RnB kwa kutumia beat ya Jambo Jambo, yupo Man Walter, zisikilize hapa

Baada ya wimbo wa Steve RnB, Jambo Jambo kuhit, wasanii wengine watatu wameamua kujaribu bahati zao kwa kutumia beat hiyo ya riddim kutoka Jamaica kwa kufanya version zao. Wasanii hao ni Pestman wa Mwanza aliyefanya wimbo uitwao Mi Beautiful, producer Man Walter wa Combination Sound aliyefanya wimbo uitwao Nawaogopa na Lil Ghetto na Baby J waliorekodi wimbo uitwao Mimi na Wewe . Zisikilize kwa pamoja ndani.

[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/81041497″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents