Habari

Watoto wa Mbunge, Mh. Kasuku waishiwa nguvu wakati wa kuuaga mwili wa baba yao (+video)

Watoto wa mbunge, Mbunge wa Buyungu, Kasuku Bilago wameishiwa nguvu wakati wa kuuaga mwili wa baba yao katika ukumbu wa karimjee jijini Dar es salaam. Tazama video hii wakimuaga baba yao:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents