Habari
Mtoto awaliza watu kwenye msiba wa Mbunge Kasuku (+video)
Mtoto wa kike wa Mbunge wa Bayungu, Mh. Kasuku Bilango (CHADEMA) amemlilia baba yake kwa uchungu na kusababisha vilio kuongezeka eneo la viwanja vya Karimjee.