Habari

Waziri Mkuu athibitisha malipo ya Ndege tatu yamekamilika (+ Video)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu, mbili zikiwa ni aina ya #AirBus na ndege hizo zinatarajiwa kuwasili nchini kati ya mwaka 2021/22 na kufanya serikali kuwa na jumla ya ndege 12.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents