Burudani

Wema aalikwa kwenye 40 ya Prince Nillan Jumamosi hii

Zari na Wema Sepetu mambo mbona fresh tu. Malkia huyo wa filamu nchini amealikwa kwenye sherehe ya 40 ya Prince Nillan.

Wakizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Alhamis hii, Diamond amethibitisha kuwa Wema ni mmoja kati ya wageni walioalikwa katika shughuli hiyo.

“Ni mmoja kati ya watu ambao wamealikwa. Na tunaomba wamalize matatizo yao salama,” amesema Diamond.

Sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika Jumamosi ya Februari 11 mwaka huu huko kwenye ikulu ya Diamond na Zari iliyopo Madale.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents