Burudani

Wiz Khalifa kuachia albamu yake Novemba hii

Rapper Wiz Khalifa ambaye pia ni big boss wa Taylor Gang, ameachia orodha ya ngoma zake zitakazopatakana katika albamu yake mpya ya ‘Laugh Now, Fly later’.

Wiz anatarajia kuachia albamu hiyo siku sawa na Taylor Swift ya  ifikapo Novemba 10, mwaka huu.


Katika albamu hiyo Wiz amemshirikisha msanii mmoja ambaye ni Casey veggies katika nyimbo zote 10 ambazo ataziachia.

List ya ngoma zilizoo katika ‘ Laugh Now, Fly later’.

1. Royal Highness f. Casey Veggies
2. Letterman
3. Figure It Out
4. Plane 4 U
5. No Dirt
6. Long Way To Go
7. Global Access
8. City Of Steel
9. Weed Farm
10. Stay Focused

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents