Burudani

Wolper honey moon yake aimalizia kwenye dhahabu, alamba dili la mamilioni (Video)

Msanii wa filamu @wolperstylish amelamba dili la ubalozi kutoka kwa @ley_jewellers ikiwa ni dili lake la kwanza toka aingie kwenye maisha ya ndoa.

Muigizaji huyo amesema maisha yake anapenda kupendeza ndio maana lilivyokuja dili hilo alishindwa kulikataa kwa kuwa alikuwa awe mapumzikoni baada ya kufunga ndoa ya @richmitindo .

Related Articles

Back to top button