Wolper: Nilitaka nimshonee Waziri Mkuu shati lakini sikujua saizi yake ndio mana nikampa kitenge (+Video)

Msanii wa Bongo Movie na mjasiriamali (Fundi Cherehani wa Kisua) @wolperstylish akieleza furaha yake na namna alivyoiandaa zawadi ya Waziri Mkuu ya Kitenge ambayo ilipokelewa.

Lakini amezungumzia wao wasanii kupeleka bidhaa zao katika maonyesho ya Sabsaba akisema wazo la wao kupeleka bidhaa pale ni wazo la @zamaradimketema

Related Articles

Back to top button