Michezo

Abdallah Chinumba atoa ushuhuda baada ya kushinda Bajaji ‘Nilidhani SportPesa wanaipeleka kwa ndugu zao kumbe ni ya kwangu’

Kila Mtanzania anapenda kushinda na ndiomaana SportPesa imekuwa sehemu sahihi ya kuhakikisha maisha ya Watanzania wengi yanabadilika pale wanaposhinda bajaji zinazotolewa kwa mshindi mmoja kila siku mara baada ya ubashiri.

Hili limekuwa zoezi la mafanikio makubwa kwa watanzania tangu promosheni ya mwanzo mpaka ya hivi sasa ambapo idadi kubwa ya washindi hutoa simulizi ya kusisimua na kuelezea ni kwa jinsi gani bajaji inaenda kubadili maisha yake.

Kama kawaida ya timu ya ushindi yenyewe huwa haipotezi muda pale mshindi anapo patikana na kwa wakati huu zamu ya mshindi wa droo ya 15 kutoka Nyangamala lindi, Abdallah Chinumba kukabidhiwa Bajaji yake akiwa ni baada ya kushinda na SportPesa.

Chinumba anasema tangu mwanzo anaisikia SportPesa yeye alikuwa anatamani kushinda Bajaj na alipokuwa akiona wenzake wanashinda hakujua kama na yeye iposiku angekuwa mshindi.

“Yani mtazamo wangu kumbe haukuwa sahihi nilijua kwamba SportPesa wanapeleka Bajaji hizi kwa ndugu zao kumbe wala maana mbona na mimi nimeshinda na hakuna mtu ananifahamu SportPesa nimegundua hii ni kwa yeyote anayebashiri na tayari maisha yangu yanaenda kubadilika baada ya ushindi huu”

alisema mshindi huyo wa Drooya 15.

Kwa upande mwingine Chinumba alisema baada ya kushinda Bajaji sasa anaanza kuisaka Jackpot yazaidi ya milioni miatano hamsini ambapo mshindi atapatikana mara baada ya kubashiri mechi kuminatatu kwa usahihi kutoka SportPesa na ikitokea anashinda basi atanunua nyumba kubwa sana na yakifahari.

Hakuna kulala Mtanzania SportPesa wametuletea Bajaji miamoja cha kufanyakupitia simu yako ya mkononi ni kupiga *150*87# kuweka pesa kwenye akaunti ya SportPesa na kupitia mitandao yote ya simu.

Mara baada ya kuweka ubashiri moja kwa moja unaingia kwenye droo ambayo unaweza kujishindia zawadi mbalimbali kama Bajaji, Jezi za timu ya Simba au Yanga, Smartphones na safari ya kwenda kushuhudia mechi zinazoendelea za ligi kuu nchini Hispania na Uingereza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents