Tupo Nawe

Afisa Mhamasisha Mkuu Yanga atema cheche ”Hatuitaji Ujanja ujanja” (+Video)

Afisa muhamasishaji wa klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa Yanga SC sasa haitaji ujanja ujanja ili kuhakikisha inafanya vizuri.

”Kupitia mtandao wangu wa kijamii, niliandika kitaalamu sana kuhusiana na mechi tulivyopoteza, kuijenga timu upya na benchi la ufundi. Sasa hivi tunaka Yanga isiwe ya ujanja ujanja,” amesema Antonio Nugaz

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW