Burudani

Afrika mnafanya Hip Hop nzuri – Rapa Future (+Video)

Rapa kutoka Marekani, Future amesema Hip Hop inayofanywa na Wasanii wa Afrika ni nzuri kwani inawavutia wasanii wengi wakubwa wa Marekani kuisikiliza.

Tokeo la picha la future
Future

Future amesema Hip Hop ya Afrika inaelezea uhalisia wa Mazingira ina’sound nzuri pia hata midundo yake inavutia kuisikiliza.

Hip Hop ya Afrika inasound vizuri sana inavutia kuisikiliza kwani imejaa ubunifu na huwa naingia studio kusikiliza midundo yake kuona kama ninaweza kufanya kitu“,amesema Future.

Hata hivyo, Rapa Future baada ya kunogewa na midundo ya kiafrika amethibitisha kuwa tayari amefanya kolabo na WizKid kutoka Nigeria .

By Godfrey Mgallah

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents