Michezo
Akistaafu soka: Cristiano Ronaldo kuwa muigizaji wa filamu
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameonesha nia ya kuja kuwa muigizaji wa filamu pindi atakapotundika daruga zake.
Alipoulizwa kama uigizaji unamvutia, Ronaldo alisema: ‘The door is always open. “I am always available” as they say in English. ‘I am not thinking now about the end of my football career but it is always a possibility because I am used to it.’
Ronaldo alikuwa akiongea kwenye hafla ya uzinduzi wa kiatu cha Nike atakachokivaa kwenye kombe la dunia.