Aliyekuwa katibu wa CHADEMA Dkt. Vicent Mashinji atangaza kuhamia CCM rasmi – Video
Aliyekuwa katibu wa CHADEMA Dkt. Vicent Mashinji atangaza kuhamia CCM rasmi - Video
Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vicent Mashinji ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Februari 18, 2020.
Mashinji ametangaza uamuzi huo katika ofisi ndogo za CCM, Lumunba jijini DSM na kupokelewa na Katibu Itikadi na Uenezi, Humprey Polepole.
#Bongo5Updates: Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vicent Mashinji ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Februari 18, 2020. Mashinji ametangaza uamuzi huo katika ofisi ndogo za CCM, Lumunba jijini DSM na kupokelewa na Katibu Itikadi na Uenezi, Humprey Polepole pic.twitter.com/TXqHC0TQAE
— bongo5.com (@bongofive) February 18, 2020
BREAKING NEWS: Leo 18 Februari 2020 Katibu Mkuu Mstaafu wa CHADEMA, Dkt Mashinji, Ajiunga Rasmi na Chama cha Mapinduzi (CCM) pic.twitter.com/s8ML42cvH9
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) February 18, 2020