Michezo
Anthony Joshua amchakaza Parker bila huruma(+picha)
Hatimaye Bingwa wa dunia wa uzito raia Uingereza, Anthony Joshua ameandika historia mpya kunako mchezo wa masumbwi baada ya kumshinda mpinzani wake Joseph Parker huko Cardiff.
Joshua ambaye ameshinda pambano lake hilo la 21 huku akiwa na rekodi ya kutopoteza hata moja amemshinda Parker raia wa New Zealand kwa pointi 118 dhidi ya 111.
Tazama Anthony Joshua Vs Joseph Parker walivyotambiana baada ya kupima uzito
Zifuatazo ni picha za matukio hayo ya mchezo wa ngumi