Michezo

Anthony Joshua aomba hili kwa Prince Harry

Kama ungekutana na Prince Harry katika kipindi hiki ungemwambia nini?

Bahati hiyo amekutana nayo bondia Anthony Joshua wiki hii katika kituo cha habari cha BBC Radio 4. Joshua amempongeza Prince Harry kwa kumvalisha pete mpenzi wake Meghan Markle na pia amemtania kwa kumuomba ampatie nafasi ya usaidizi katika ndoa yake.

Bondia huyo amethibitisha hilo kupitia ujumbe alioandika kwenye mtandao wa Instagram unaosomeka, โ€œBack to work this morning! Congrats on everything this year & no pressure on the R4 guest edit! ๐Ÿ˜‰ P.s. Need a best man? ๐Ÿคท๐Ÿพโ€โ™‚๐Ÿ˜…๐Ÿ‘‘.”

Ndoa ya Harry na Markle inatarajiwa kufungwa Mei 19, 2018 huko St. Georgeโ€™s Chapel, Windsor Castle nchini Uingereza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents