Tupo Nawe

Anthony Joshua: Baadhi ya watu waliniita ‘Mwendawazimu’ kwa kukubali kurudiana na Andy Ruiz Jr

Bingwa wa ngumi uzito wa juu duniani, Anthony Joshua, amesema aliitwa ‘Mwendawazimu’ na baadhi ya watu, kwa kukubali kwake kucheza pambano la marudiano na Andy Ruiz Jr, miezi michache tu baada ya kupoteza dhidi ya Mmexico huyo.

Andy Ruiz Jr. vs. Anthony Joshua 2 results, highlights: AJ puts on ...

Joshua alifanikiwa kurejesha mikanda yake ya ubingwa wa uzito wa juu ya IBF, WBA na WBO kutoka kwa Ruiz Jr mwezi in Disemba, miezi sita baada ya kuipoteza.

AJ amesema kuwa aliamua kutosikiliza ushauri wa watu, waliomchukulia kama mwendawazimu kwa hatua yake ya maamuzi ya kukubali kurudi ulingoni kwaajili ya pambano la marudiano.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW