Burudani

Apple yauza iPhone milioni 48 katika miezi mitatu

Kampuni ya Apple imeuza simu za iPhone milioni 48 katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita – yaani ni sawa na Tanzania nzima imenunua simu hizo.

iPhone_7_illustration_Yasser_Farahi_1000e

Mauzo hayo yamesababishwa pia na uzinduzi wa simu zake mpya 6S na 6S Plus mwezi uliopita. Mauzo hayo yameifanya kampuni hiyo kupata faida ya robo ya mwaka kuliko ilivyotarajiwa.

Kwa ujumla katika kipindi hiki Apple imeingiza takribani dola bilioni 234.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents