Burudani

BTS: Video mpya ya Victoria Kimani ‘Booty Bounce’ itakuwa hatari tupu!

Mwimbaji wa Kenya ambaye yuko chini ya label ya Chocolate City ya Nigeria, Victoria Kimani anajiandaa kuachia wimbo wake mpya ambao video yake ina kila dalili ya kuja ku-break the Internet!

vicky

Jina la wimbo huo, ‘BOOTY BOUNCE’ linatosha kutoa picha halisi ya kile kitachakuwemo kwenye video yenyewe.

booty bounce-2

Pia cover za mitego za ‘coming soon’ ambazo Vicky amekuwa akishare kwenye mitandao ya kijamii zinaashiria nini mashabiki watarajie kupata kwenye video hiyo.

booty bounce-1

Pia Victoria alishare kipande kidogo cha behind the scenes wakati wa utengenezwaji wa video hiyo iliyofanyika Afrika Kusini na kuandika, “On set for my new video ” Booty Bounce ” …here’s a sneak peak. ..Thank you @Johze_tefu For gracing this Video…The Bea-ooty of the African Woman”

Tazama kipande cha Behind The Scene

https://youtu.be/My6dR3lt69c

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents