Michezo

Arturo Vidal akamilisha uhamisho wa £28m kwenda Bayern Munich

Kiungo wa timu ya taifa ya Chile, Arturo Vidal amejiunga rasmi na klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani kutoka Juventus ya Italia kwa uhamisho wa pauni milioni 28.

2AE8730A00000578-3177433-image-a-49_1438095662345

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 amesaini mkataba wa miaka minne baada ya kufuzu vipimo vya afya mjini Munich.

2AE86AB400000578-3177433-image-a-47_1438095627215

Mkataba huo wa miaka minne na FC Bayern utamuweka Munich hadi mwaka 2019.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents