Habari

Aua wanawake wanne kwa gobole kwenye mall nchini Marekani

Mwanaume aliyekuwa na gobole aliingia kwenye duka la moja katika mall ya huko Washington na kuua wanawake wanne kisha kutokomea gizani.

160924-usnews-cascade-mall-shooter-suspect-0322_fdfd45f3d120b3e12cdabf652692622a-nbcnews-ux-2880-1000

Mauaji hayo yametokea kwenye mall ya Cascade huko Burlington na kumwacha mwanaume mmoja akiwa amejeruhiwa.

Mamlaka zinasema ni mtu mmoja tu aliyehusika katika tukio hilo na wanamtafuta. Watu walionusuruka walipelekwa katika kanisa lililokuwa jirani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents