Michezo

Audio: Mzee Akilimali afunguka kuhusu fomu ya uchaguzi wa Yanga na ujio wa Manji

Mwenyekiti wa baraza la wazee wa klabu ya Yanga, Ibrahim Omary Akilimali amesema kuwa taarifa zilizoenea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu kuhusishwa kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya wenyekiti sio zakweli.

Mzee Akilimali ameongeza kuwa haungi mkono kurudi kwa aliyekuwa mwenyekiti wao, Yusuf Manji na hata kutambulika kama ndiye mkuu wa klabu hiyo ya Yanga kwa sasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents