Serikali yaahidi kulinda haki za Watanzania walioajiriwa nje ya nchi
Habari

Serikali yaahidi kulinda haki za Watanzania walioajiriwa nje ya nchi

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema italinda haki za Watanzania walioajiriwa katika nchi za Kiarabu kufuatia ripoti mbalimbali…
Mkuu wa Majeshi nchini atoa ahadi nzito Rais Magufuli
Habari

Mkuu wa Majeshi nchini atoa ahadi nzito Rais Magufuli

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amesema kuwa kwa kuzingatia kiapo chao wataendelea kumuunga mkono Rais wa…
Mbunge ahoji maswali mazito bungeni ‘Serikali inatumia vigezo gani kuitambua BAKWATA? (+video)
Habari

Mbunge ahoji maswali mazito bungeni ‘Serikali inatumia vigezo gani kuitambua BAKWATA? (+video)

Mbunge wa Konde (CUF), Khatib Said Haji ameihoji serikali kwanini iitambue BAKWATA kama ndio chombo kikuu cha Waislam Tanzania jambo…
Rais Magufuli ammwagia Milioni 100 mgunduzi wa Tanzanite (+video)
Habari

Rais Magufuli ammwagia Milioni 100 mgunduzi wa Tanzanite (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema yeye na serikali yake watatoa sh. Milioni 100…
Matukio katika picha bungeni leo April 6, 2018
Habari

Matukio katika picha bungeni leo April 6, 2018

Leo April,6 mwaka huu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeendelea mjini Dodoma; Hizi ni baadhi ya picha…
Mbunge aibua hoja kuhusu serikali kujenga viwanda 100 kila Mkoa
Habari

Mbunge aibua hoja kuhusu serikali kujenga viwanda 100 kila Mkoa

Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya amesema kiwanda kina tabia ya binadam kinapokosa mazingira mazuri na…
Huu ndio Ukuta utakaozinduliwa na Rais Magufuli (+Picha)
Habari

Huu ndio Ukuta utakaozinduliwa na Rais Magufuli (+Picha)

Maandalizi ya uzinduzi wa Ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite Mirerani wakamilika ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe,…
Jeshi la Polisi laagizwa kuwaweka ndani madereva wanaosababisha ajali
Habari

Jeshi la Polisi laagizwa kuwaweka ndani madereva wanaosababisha ajali

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi kuwaweka ndani madereva wanaosababisha ajali kutokana…
Naibu Spika awashangaa wanaume wanaoenda kupima DNA ‘kitanda hakizai haramu’ (+video)
Habari

Naibu Spika awashangaa wanaume wanaoenda kupima DNA ‘kitanda hakizai haramu’ (+video)

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson amewakumbusha wanaume kwa kuwatania kuwa hakuna umuhimu wowote kwa wao kufuatilia kipimo cha DNA ili…
Mh. John Heche aunganishwa na viongozi wengine Chadema
Habari

Mh. John Heche aunganishwa na viongozi wengine Chadema

Hatimaye Mbunge wa Tarime Vijijini(CHADEMA), John Heche leo amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  na kuunganishwa kwenye kesi namba 112/2018…
Suala la wakina baba kubambikiziwa watoto lazua gumzo bungeni (+video)
Habari

Suala la wakina baba kubambikiziwa watoto lazua gumzo bungeni (+video)

Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa si kweli kwamba watoto sita…
Sio mimi wala Lissu tuliozuia ndege, serikali ilikuwa inadaiwa sisi tulihoji – Mh. Zitto
Habari

Sio mimi wala Lissu tuliozuia ndege, serikali ilikuwa inadaiwa sisi tulihoji – Mh. Zitto

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema kuwa sio yeye wala Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu waliozuiwa ndege aina…
Idara ya uhamiaji inatumika kisiasa dhidi ya Abdul Nondo – Mh. Zitto
Habari

Idara ya uhamiaji inatumika kisiasa dhidi ya Abdul Nondo – Mh. Zitto

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema kuwa atampeleka Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi(TSNP), Abdul Nondo Ofisi za Uhamiaji ambapo…
Tamko la Chadema kwa Jeshi la Polisi kuhusu kuwashikilia watu 25
Habari

Tamko la Chadema kwa Jeshi la Polisi kuhusu kuwashikilia watu 25

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeweka wazi majina ya watu wanaoshikiliwa na jeshi la polisi kinyume na sheria wakiwemo…
Serikali yatoa neno kuhusu viwanda vilivyoanzishwa nchini
Habari

Serikali yatoa neno kuhusu viwanda vilivyoanzishwa nchini

Serikali ya Awamu ya Tano kupitia kauli mbiu yake ya kujenga uchumi wa viwanda imeanzisha jumla ya viwanda 3,306 kufikia…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents