Siasa

Baba Levo atangaza nia kugombea Ubunge jimbo la Zitto ” Yeye anautaka Urais, Kigoma mjini hatutaki mamluki” – Video

Diwani wa kata ya Mwanga Kigoma mjini @officialbabalevo ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kigoma mjini.

@officialbabalevo ametangaza nia akisema kuwa ameona kama Mh. @zittokabwe anautaka Urais hivyo yeye ndiye akatayeridhi mikoba ya @zittokabwe KIGOMA MJINI maana hawataki mamluki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents