Michezo

BOLTON WAMNASA YOSSO WA REAL

 

Bolton imefanikiwa kumsajili beki Yosso wa kushoto wa Real Madrid,Marco Alonso na kumpa mkataba wa miaka mitatu bila kutaja kiasi cha ada ya uhamisho.
‘Wakati tukiwekeza kwenye usajili nataka tufanye hivyo kwa wachezaji chipukizi na wenye vipaji’ alisema kocha wa Bolton Owen Coyle kupitia tovuti ya klabu hiyo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents