Videos

Bongo5 Media Group yachangia ‘Diva Giving For Charity’ kusaidia watoto yatima, sikukuu ya Eid


Asubuhi ya leo, Bongo5 Media Group imewasilisha mchango wa shilingi laki tano kwa ajili ya kusaidia kufanikisha shughuli ya kuwatembelea watot yatima wa kituo cha New Life Orphanage kilichopo Kigogo.

Msaada huo uliofikishwa na Ramadhani Nnauye wa Bongo5, unatarajiwa kusaidia katika manunuzi ya mahitaji tofauti ya watoto hao na kuwapa faraja kwenye sikukuu za Eid.

Diva alitoa shukrani zake kupitia ukurasa wake wa Twitter na kusema,


Pamoja sana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents