Videos

Bongo5 Meets: Gosby – King of Swaghili (Video)

Swaghili kwa mujibu wa Gosby ni muziki wenye ‘swag’ unaotumia Kiswahili na Kiingereza. Mfahamu zaidi Gosby kwenye episode ya kwanza ya series za Bongo5 Meets ambapo anazungumzia muziki wake, alikoanzia, kufanya kazi na B’Hits na Pancho Latino, namna ambavyo anaendelea kujibrand kama msanii wa kimataifa, jinsi watu wanavyohisi anatoka kwenye familia ya kitajiri na mambo mengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents