Burudani ya Michezo Live

Breaking: Arsenal yatangaza kumtimua kazi Unai Emery na majukumu kukabidhiwa kocha huyu

Klabu ya Arsenal imetangaza rasmi hii leo kumtimua kazi kocha wake, Unai Emery kupitia mitandao yake ya kijamii.

Arsenal imesema kuwa vijana wao kuanzia sasa watakuwa chini ya Freddie Ljungberg baada ya kuachana na Unai Emery.

Ni muda mrefu Unai Emery amekuwa akihusishwa na kutimuliwa kazi ndani ya Arsenal hasa kutokana na mwenendo mbaya ambao unapitia timu hiyo.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW