Michezo

Brendan Rodgers awa meneja bora wa msimu wa mwaka 2013-14

Kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka ya LMA baada ya kufanya kazi nzuri msimu huu na kuwa kocha wa kwanza wa Majogoo wa jiji kutwaa tuzo hiyo.

BRENDAN RODGERS_full

LMA wamemtangaza Brendan Rodgers, kuchukua nafasi hiyo baada ya jopo la mameneja nchini humo kumchagua kwa kupiga kura, ambapo asilimia kubwa ilimpigia kura meneja huyo kutoka Ireland ya kaskazini.

Sababu kubwa ya Rosdgers kuchukua nafasi ya meneja bora wa msimu, ni juhudi alizozionyesha za kuibadilisha Liverpool ambayo msimu huu imemaliza katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ya nchini Uingereza, ikiwa ni tofauti ya point mbili dhidi ya mabingwa Man city ambao walimaliza wakiwa kileleni kwa kumiliki point 8.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents