Chris Brown na Rihanna wako pamoja?

Inasemekana msanii Nyota wa muziki Rihanna kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na msanii Chris Brown, jambo ambalo wote kwa pamoja wamekuwa wakilikanusha vikali huku wakidai wao ni marafiki tu

Chris Brown na Riahnna


 


Inasemekana msanii Nyota wa muziki anayejulikana kwa jina Rihanna kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na msanii Supa Staa Chris Brown, jambo ambalo wote kwa pamoja wamekuwa wakilikanusha vikali huku wakidai wao ni marafiki tu na hakuna kinachoendelea baina yao.



Walipofanyiwa mahojiano na moja ya mtandao ya udaku nchini marekani Brown alisema “Ukwelia kabisa sisi ni marafiki kama vile Kaka na Dada na nimeshazoea kuasikia habari hizo za kizushi kwani kila siku nakutana na maswali kama vile ‘what’s the Deal’ na mara zote huwa najibu No Deal zaidi ya urafiki tu”



Wakati Rihanna alipokutana na swali alijibu “Sisi tulianza kujishughulisha katika masuala ya muziki pamoja, hivyo ukaribu wetu unahusisha kazi zaidi na sio mapenzi kama inavyodhaniwa, namuamini sana Chriss na huwa natumia muda wangu mwingi kupiga nae misele na hata kama angekuwa ni mpenzi wangu nisingeficha”



Ni jambo la kawaida sana kuona mastaa wakiwa na uhusiano wa kimapenzi hivyo basi kama wao wanafanya siri basi wake wakijua kuwa ipo siku itafichuka.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents