Michezo

Clement Sanga afanya uteuzi wa wajumbe 55, Yanga SC

Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Clement Sanga kwa niaba ya kamati ya utendaji ameteuwa wajumbe 55 kuunda kamati mbalimbali za kushukhulikia maswala ya Yanga SC.

Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Clement Sanga

Miongoni mwa wajumbe waliyoteuliwa ni Mhomed Nyenge (MW), Baraka Deusdedit, Lawrence Mafuru, Erald Mutalemwa, Abu Faraji na Anthony Mark wakiwa katika sehemu ya Fedha, uchumi na mipango.

Kama hapa wanavyoonyeshwa wajumbe mbalimbali waliyo teuliwa  na Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents