Burudani

Country Boy kuamsha dude Boxing Day (+video)

Msanii wa muziki Bongo, Country Boy amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kwani hivi karibuni ataachia ngoma yake yake mpya.

Rapper huyo amesema anatarajia kutoa ngoma mpya December 26 mwaka huu, boxing day.

“Umekuwa mwaka mzuri kwangu, so far so good kuna zawadi nitawaachia before mwaka haujaisha, katika hapo kwenye tarehe 26 boxing day, ndio siku ya zawadi?, basi nitawaachia zawadi” amesema Country Boy.

Country Boy bado anafanya vizuri na ngoma yake ya Turn Up.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents