Picha
Cover battle: The Finest (MwanaFA) vs Kiutuuzima (Joh Makini)
So MwanaFA na Joh Makini wote wana vitu vipya vinakuja. Wote wametease makava ya project zao kupitia Instagram ambapo The Finest ni ya MwanaFA na Ki-Utuuzima (video) ni ya Joh Makini. Picha zote zimefanyiwa editing na I-View Media na utakubaliana nasi kuwa idea zinafanana ama sio? Zitazame picha zote mbili hapo chini na utuambie ipi imetoka poa zaidi!!