Michezo

David De Gea ashinda tuzo ya Golden Glove EPL

Golikipa wa Manchester United, David De Gea amefanikiwa kushinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza.

De Gea ameshinda tuzo hiyo baada ya mchezo wa jana dhidi ya Westham United kumfanya kupata clean sheet ya 18 kwa msimu huu.

Kupitia ukurasa maalum wa Instagram wa bodi ya ligi hiyo wamethibitisha hilo na kumpongeza golikipa huyo kwa kuandika, “Congratulations, David De Gea!
. Clean sheet No.18 of the season means he secures the @cadburyuk Golden Glove award 👏.”

Ederson wa Manchester City alikuwa anamfukuzia De Gea kwa kuwa na cleen sheet 16.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents