Tia Kitu. Pata Vituuz!

Dereva aliyempakia Mgonjwa wa Corona Arusha ahojiwa, Mkuu wa mkoa aeleza baadhi ya sehemu alizoenda dereva huyo – Video

Dereva aliyempakia Mgonjwa wa Corona Arusha ahojiwa, Mkuu wa mkoa aeleza baadhi ya sehemu alizoenda dereva huyo - Video

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amethibitisha kuhojiwa kwa dereva aliyehusika katika safari nzima ya kumbeba mwana mama ambaye alithibitishwa kuwa na virusi vya corona siku ya jana mkoani Arusha.

“Dereva alimpakia mgonjwa mwenye virusi vya Corona pia alihusika kuwapeleka baadhi ya abiria wilayani Karatu na baadae kurudi mjini Arusha”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW