Burudani

‘Despacito’ yajitengenezea historia mpya chati za Billboard

Wimbo wa ‘Despacito’ ambao kwa sasa umekuwa kama wimbo wa dunia, umejitengenezea historia mpya katika chati za Billboard.

Wimbo huo ambao umeimbwa na Luis Fonsi, Daddy Yankee na kumshirikisha Justin Bieber, umefanikiwa kushika namba moja katika chati hizo kwa wiki 16 na kuifikia rekodi iliyowahi kuwekwa na Mariah Carey na Boyz II Men’s kupitia wimbo wa “One Sweet Day” katika chati hizo.

Luis Fonsi ameshindwa kuzuia furaha hiyo kupitia mtandao wa Twitter na kuamua kuandika, “This is historic for Latin Music! Thank you guys for all your support… feeling very blessed…”

Hizi ni nyimbo 10 zinazoshikilia chati ya 100 Hot ya Billboard.

1. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”
2. DJ Khaled feat. Rihanna & Bryson Tiller – “Wild Thoughts”
3. Cardi B – “Bodak Yellow”
4. Imagine Dragons – “Believer”
5. Charlie Puth – “Attention”
6. French Monta feat. Swae Lee – “Unforgettable”
7. Shawn Mendes – “There’s Nothing Holdin’ Me Back”
8. Bruno Mars – “That’s What I Like”
9. Ed Sheeran – “Shape of You”
10. Yo Gotti & Mike WiLL Made-It feat. Nicki Minaj – “Rake It Up”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents