Michezo
Exclusive: Baba Samatta afunguka Mtoto wake kutua Aston Villa, Simba itakavyonufaika ”Mh Jakaya Kikwete alikwenda kumuombea aachiwe”(+Video)
Baba Mzazi wa Mbwana Samatta Mzee Ally Samatta Pazi amefunguka mengi kuhusu mwanaye kutua Aston Villa, faida ambayo Simba SC watapata na namna ambavyo KRC Genk ilivyombania mwanawe kutimka Ubelgiji kwa muda mrefu.