Picha
Exclusive Photos: Behind the scenes za video mpya ya Farida ‘Mapenzi’
Mwanadada Farida ambaye kwa muda mrefu alikuwa kimya, hivi karibuni ameshoot video ya wimbo wake mpya, ‘Mapenzi’. Video hiyo imefanyika jijini Mwanza na kampuni ya One Love Videos chini ya muongozaji, Hyper. Hizi ni baadhi ya picha za shooting ya video hiyo.