DStv Inogilee!

FAHAMU: Faida na magonjwa yanayoweza kutibika kwa kula bamia kwa kuzingatia masharti

Bamia ni mboga maarufu hapa Tanzania, na watu wengi wamekuwa wakiichukulia mboga hiyo kama ya watu wenye uwezo mdogo kiuchumi. Sasa leo yafahamu magonjwa yanayoweza kutibika kwa kula bamia.
Image result for bamia
1-Pumu.

Bamia ina Vitamin C ambayo inawafanya watoto wanaougua ugonjwa wa pumu, kupumua vizuri wanapotumia bamia. Nusu kikombe ya Bamia iliyopikwa huwa ina miligramu 13 ya vitamin C.

2-Msongo wa mawazo (Depression).

Bamia ni mboga bora zaidi kwa wale wanaoshambuliwa na msongo wa mawazo, unywaji wa kikombe kimoja cha supu yake huimarisha nguvu ya ufanyaji kazi wa ubongo.

3-Hupunguza Chorestol mwilini.

4-Bamia unasaidia kumarisha kiga ya mwili na mfumo wa uonaji mwilini.

5-Bamia inasaidia kutibu tatizo la kukosa choo.

6-Bamia inatibu vidonda vya tumbo.

Bamia husaidia kuweka utumbo kuwa na hali nzuri hivyo kupunguza uwezakano wa kuugua vidonda vya tumbo kwani inasaidia kusawazisha asidi mwilini.

7-Kuimarisha afya ya nywele.

8-Inasaidia kusawazisha sukari mwilini kwa wale wanaougua ugonjwa wa kisukari.

9-Inasaidia kutibu magonjwa mbalimbali ya zinaa kama Kisonono, kaswende n.k .

10-Ni kinga dhidi ya utamiamlo (Unene uliopitiliza).

Faida hizi ni kwa mujibu wa majarida mbalimbali ya afya duniani, na bamia inatajwa kuwa ni moja ya mboga za majani zenye faida nyingi zaidi duniani.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW