Burudani ya Michezo Live

Fainali Diwani Cup: Magoli ya Makamba Jeki FC Vs Nondo FC na zawadi ya washindi (+Video)

Timu ya Makamba Jeki FC imeibuka na ubingwa wa jumla ya penati 5-3 dhidi ya Nondo FC yenye makazi yake Kinondoni kwenye michuano ya Diwani Cup inayosimamiwa na Diwani wa Msasani Mh Benjamin Sitta mchezo uliyopigwa kwenye uwanja wa CCM Msasani Magunia.

Mabingwa wa michuano hiyo, Makamba Jeki waliondoka na kitita cha shilingi milioni moja, jezi mpira pamoja na Bodaboda. wakati mshindi wa pili akiondoka na milioni moja pamoja na seti moja ya jezi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW