Michezo

Fiorella Castillo: Mrembo wa Argentina anayepiga danadana akiwa na high heels (Video)

Mrembo wa nchini Argentina, Fiorella Castillo anadai kuwazidi wanaume 800 kwenye shindano la kupiga danadana.

Msichana huyo mwenye miaka 24 kwa sasa ameelekeza akili yake kutaka kumuonesha ujuzi wake mchezaji Argentina na Barcelona, Lionel Messi. Ona uwezo wake kwa kutazama video hizo.

https://www.youtube.com/watch?v=xh_784O7xJk

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents