Burudani

Mateo: Mtoto wa miaka 3 aliyegeuka staa kwenye internet kwa uwezo wa kubishana (Video)

Mateo ana miaka mitatu pekee lakini anapenda kubishana kama mtu mzima.

https://www.youtube.com/watch?v=TP8RB7UZHKI

Pindi mama yake Mateo ameiweka Youtube video akibishana naye kuhusu keki, haikupata click mbili tatu – ilienda viral na hadi sasa imeangaliwa kwa zaidi ya mara milioni 15!

Video hiyo pia ilimvutia Ellen DeGeneres aliyeiweka kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika: I want this little boy to come to my show immediately. I want to retain him as my lawyer.” Mateo na mama yake Linda walihojiwa kwenye Ellen DeGeneres Show, March 18.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents