Habari

Foleni ilivyotisha Dar leo (+video)

Foleni ya jiji la Dar kwa leo ilikuwa ni kubwa tofauti na siku nyingine hali iliyopelekea magati yaendayo kwa haraka(Mwendokasi) kusitisha safari zake tangu saa 11 alfajiri na hatimae kurudisha safari zake kuendelea baada ya eneo la Jangwani kujaa maji.

Foleni hiyo ambayo ilipelekea baadhi ya magari na bajaji kupita katika barabara ya magari ya mwendokasi ambayo hupita barabara yake, hali iliyoleta taharudi kwa baadhi ya abiria wa jiji la Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents