Michezo

Gattuso alivyoiongoza AC Millan kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya kuikabili Arsenal Europa League (+picha)

Kikosi cha AC Millan kipo katika maandalizi yake ya mwisho chini kocha wake Gennaro Gattuso tayari kuikabili Arsenal siku ya Alhamisi hatua ya 16 bora ya michuano ya Europa League.

Meneja wa klabu ya AC Milan, Gennaro Gattuso akionekana akiwaonyesha wachezaji wake namna ya kupiga mpira katika mazoezi ya hapo jana siku ya Jumatano.

Gattuso  anamuamini straika wake kijana, Patrick Cutrone ambaye aliifungia Milan goli hatua iliyopita dhidi ya Ludogorets kuwa atafanya vizuri.

Straika wa AC Millan, Patrick Cutrone akijifua kabla ya mchezo wao na Arsenal

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents