Goli la Feisal Salum lilivyomuinua Alikiba kwa Mkapa (+Video)

Msanii wa Bongo Fleva @officialalikiba ameinuka kwa shangwe zote na kuanza kushangilia goli kali lililofungwa na nyota wa Tanzania, Feisal Salum akiisawazishia #taifastars dhidi ya Tunisia.

Kwa namna @officialalikiba na baadhi ya mashabiki wengine wa Stars walivyoamsha shangwe baada ya goli hilo kali la Faisal Salum ni kama hawakuamini mpira umeingia golini.

Dakika 90 #TaifaStars 1 – 1 Tunisia
#AFCON2121

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW