Habari

Habida wa Kenya ampoteza baba yake mzazi

Mwimbaji wa ‘Sunshine’ kutoka nchini Kenya Habida Moloney maarufu kama ‘Habida’ amefiwa na baba yake mzazi. Habari hizi za kusikitisha zimethibitishwa na habida jana (July 25).

habida2

Habida ambaye hakutoa maelezo zaidi kuhusiana na taarifa hizo alitweet “May the greatest man who lived, my father, rest in peace. I love you daddy and will miss you with all my heart.” Habida amewashukuru mashabiki wake ambao wanaendelea kumfariji kwa salam za pole na maneno ya kumtia nguvu katika kipindi hiki kigumu. “Thanks everyone for your heartfelt love and condolences. No words can express my thanks. Gnite Day 2″.

Bongo 5 tunampa pole Habida na familia yake kwa kumpoteza baba yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents