Michezo
Haya ni matokeo ya mechi za UEFA Champions League
Michuano ya UEFA Champions League iliendelea usiku wa Jumatano kuamkia Alhamis ambapo ilipigwa michezo minane (8). Haya ndio matokeo ya mechi hizo zilizochezwa kwenye viwanja vinane tofauti.