Burudani

Herieth Paul afunguka kuhusu mafanikio yake 2017 (Video)

Katika ulimwengu wa mitindo, mlimbwende kupata nafasi ya kushiriki show ya Victoria’s Secret, ni sawa na muimbaji kupewa nafasi ya kutumbuiza kwenye tuzo za Grammy. Kwa mara ya kwanza, mlimbwende wa Tanzania, Herieth Paul ameungana na walimbwende wote maarufu duniani kwenye show hiyo kubwa, iliyopambwa kwa aina yake na kufanyika jijini Paris, Ufaransa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents