Bongo Movie

Video: Wema Sepetu bila matukio yasiyo yakawaida sio Wema – Kadinda

Aliyekuwa meneja wa malkia wa filamu, Wema Sepetu, Martin Kadinda amefunguka kwa kusema kuwa matukio mengi ambayo anayafanya Wema Sepetu sio kutafuta kiki kama baadhi ya watu wanavyofikiria bali ndio maisha yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents